IQNA

KARBALA (IQNA)- Jumba la Makumbusho la Haram ya Imam Hussein AS katika mji wa Karbala limefunguliwa.

Jumabo hilo ambalo liko katika ghorofa ya pili ya haram hiyo takatifu linaonyesha turathi nyingi za kihistoria.