iqna

IQNA

Hali ya Syria
 IQNA – Wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya miaka 13 nchini Syria, Wakristo walibaki waaminifu kwa serikali ya Bashar al- Assad . Lakini kunyakua madaraka kwa kasi kwa kundi la Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) kumeongeza wasiwasi kuhusu hatima ya Wakristo walio wachache \ nchini humo.
Habari ID: 3479965    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/28

Matukio
IQNA-Serikali ya Syria ilianguka mapema Jumapili katika mwisho wa kushangaza kwa uongozi wa miaka 24 wa Rais Bashar al- Assad katika nchi hiyo ya Kiarabu baada ya kundi la wanamgambo wa Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) kuvamia na kuuteka mji mkuu Damascus.
Habari ID: 3479874    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/08

Aragchi katika mkutano na Rais Assad
IQNA-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Rais Bashar al- Assad wa Syria mjini Damascus, kwamba matukio ya Syria ni sehemu ya njama za utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani dhidi ya eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3479844    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/02

Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Syria pamoja na wananchi wa nchi hiyo wamepitia masaibu na matatizo mengi na hii leo taifa hilo limeweza kupata ushindi.
Habari ID: 3476950    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/03

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, safari za hivi karibuni ya Rais Bashar al- Assad wa Syria na Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al-Thani nchini Iran zilikuwa za kimkakati na muhimu.
Habari ID: 3475244    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/13

TEHRAN (IQNA)- Rais Bashar al Assad wa Syria amefanya safari ya ghafla nchini Russia na kukutana na kufanya mazungmzo na Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo katika Ikulu ya Kremlin.
Habari ID: 3474296    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/15

TEHRAN (IQNA)- Rais nchini Syria Rais Bashar al Assad kwa mara nyingine amechaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo na baada ya kutangazwa ushindi wake, wananchi wa maeneo mbalimbali ya Syria wamemiminika mitaani kusherehekea ushindi.
Habari ID: 3473953    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/28

TEHRAN (IQNA)- Rais Bashar al Assad wa Syria amejiunga na mamillioni ya Wasyria katika kupiga kura katika uchaguzi wa rais nchini humo.
Habari ID: 3473948    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/26

TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya wakimbizi wa Syria ambao walilazimika kutoroka nchi yao kutokana na vita sasa wanapaswa kuwezeshwa kurejea nyumbani kuijenga nchi yao ambayo aghalabu ya maeneo yako sasa yanashuhudia amani.
Habari ID: 3473345    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/09

TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuendelea uungaji mkono wa Iran kwa Syria katika vita dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3472480    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/17

TEHRAN (IQNA) - Rais Bashar al- Assad wa Syria ametoa amri ya msamaha au kupunguza vifungo kwa watuhumiwa ambao hawakufanya jinai kama za kuua watu nchini humo.
Habari ID: 3472131    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/16

Wizara ya Awqaf nchini Syria imewatangaza washindi wa Awamu ya 16 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3362917    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/15

Rais Bashar al- Assad wa Syria amekosoa vikali hatua ya Uturuki ya kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kitakfiri na kubainisha kwamba, Rais wa nchi hiyo Raccep Tayyip Erdogan anayaunga mkono makundi ya kitakfiri kwa ajili ya kuhudumia mabwana zake.
Habari ID: 2930963    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/05

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amelaani vikali utekaji nyara uliofanyika ndani ya mgahawa mmoja huko Sydney, nchini Australia.
Habari ID: 2619145    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/16

Sayyid Hassan Nasrullah
Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kipaumbele cha kwanza cha Hizbullah ni kukabiliana vikali na makundi ya kigaidi na kitakfiri na kuzuia kuenea machafuko nchini Lebanon.
Habari ID: 1456409    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/01