iqna

IQNA

IQNA – Mojawapo ya manufaa ya kufunga ni kusaidia kuimarisha nguvu ya utashi na udhibiti wa nafsi. Kufunga hutoa fursa ya kufanya mazoezi ya subira na ustahimilivu dhidi ya majaribu na matamanio.
Habari ID: 3480358    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/12

Mtazamo
IQNA – Kufunga husaidia kuongeza umakini kwa kuleta mpangilio katika maisha ya kila siku na kupunguza usumbufu unaotokana na ulaji na unywaji mfululizo.
Habari ID: 3480315    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/06

Ramadhani
IQNA - Kufunga au saumu ni jambo la kawaida katika tamaduni na dini nyingi ulimwenguni kwa milenia.
Habari ID: 3478640    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/06

Waislamu kote duniani wako katika sumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Huu ni mwezi ambao mbali na kufunga, Waislamu hukithirisha vitendo vya ibada, kutoa sadaqa na kujumuika pamoja jioni wakati wa futari.
Habari ID: 3478528    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Tovuti ya kielektroniki imezinduliwa nchini Saudi Arabia ambapo watu wanaweza kuomba vibali vya kula futari kwa makundi kwenye Msikiti Mkuu wa Makaa
Habari ID: 3478455    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Tehran (IQNA) - Kufunga au Saumukatika Uislamu sio tu husaidia kuimarisha utendaji kazi wa sehemu tofauti za mwili lakini pia husafisha na kutakasa Batini (mwelekeo wa kiroho).
Habari ID: 3476887    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/18

TEHRAN (IQNA) – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amejibu swali (Istifta) kuhusu Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika mazingira ya sasa ya kuenea janga la COVID-19 au corona duniani.
Habari ID: 3472682    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/19