TEHRAN (IQNA)- Mfalme Salman Bin Abdulaziz wa Saudi Arabia ameitembelea Bahrain katika safari fupi na kufanya mazungumzo na mfalme wa nchi hiyo Hamad bin Isa Aal Khalifa.
Habari ID: 3471898 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/04
TEHRAN (IQNA) - Mahakama ya utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa raia sita wa Bahrain kwa kisingizio cha kushiriki kwenye machafuko yaliyotokea nchini humo.
Habari ID: 3471539 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/01
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain unaendelea kutekeleza sera za ukandamizaji dhidi ya wapinzani ikiwa ni pamoja na kuwanyonga, kuwatesa, kuwapokonya uraia na kuwalazimui kuihama nchi huku mashirika ya kutetea haki za binadamu yakinaani uovu huo ambao umenyamaziwa kimya na Umoja wa Mataifa na nchi za Magharibi.
Habari ID: 3471379 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/03
TEHRAN (IQNA)-Waislamu maeneo mbali mbali duniani wamebaiisha hasira zao kufuatia matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain aliyeandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa eti kadhia ya Quds na Palestina si muhimu bali ni suala la pembeni tu.
Habari ID: 3471320 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/22
TEHRAN (IQNA) Jumuiya ya Kiislamu ya Maelewano ya Kitaifa ya Bahrain (Al Wefaq) imelaani hatua ya vikosi vya usalama kuhujumu madhihirisho ya Ashura na kuendelea kuzingirwa nyumba ya mwanazuoni wa Kiislamu Sheikh Issa Qassim.
Habari ID: 3471189 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/24
TEHRAN (IQNA)-Mamia ya wananchi wa Bahrain wameshiriki katika maandamano nchini humo wakitaka wafungwa wote wa kisiasa waachiliwe huru.
Habari ID: 3471156 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03
TEHRAN (IQNA) Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukatika uhusiano na Qatar, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imekosoa hatua hiyo.
Habari ID: 3471008 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Aal Khalifa ukiungwa mkono na Saudi Arabia na Marekani umepanga kuchukua uamuzi wa kumbaidisha Ayatullah Sheikh Isa Qassim mjini Najaf Iraq lakini wakuu wa Iraq wamepinga pendekezo hilo.
Habari ID: 3470993 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/25
TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain umemuhukumu mwanazuoni wa Kiisalmu Sheikh Issa Qasim kifungo cha mwaka mmoja na kuibuaasira za wananchi ambao wameandamana wakiwa wamevaa sanda, kupinga hukumu hiyo ya kidhulma.
Habari ID: 3470987 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/21
TEHRAN (IQNA) Utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa nchini Bahrain, umeahirisha tena kesi ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim.
Habari ID: 3470971 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/07
TEHRAN (IQNA) –Utawala wa kiimla wa Bahrain umemtia mbaroni mwanazuoni mwingine wa Kiislamu huku ukandamizaji mkubwa wa wapinzani ukiendelea katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3470958 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/29
TEHRAN (IQNA)-Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Bahrain imuachilie huru mara moja mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Sheikh Ali Salman.
Habari ID: 3470937 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/17
IQNA-Utawala dhalimu wa Bahrain umeakhirisha tena hukumu dhidi ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3470895 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/14
IQNA-Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umewanyonga vijana watatu kwa madai ya kuupinga utawala wa kiimla katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3470796 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/15
IQNA: Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umelaaniwa vikali kwa hatua yake ya kuwaalika makuhani wa Kizayuni wanaotaka Wapalestina waangamizwe kwa umati.
Habari ID: 3470767 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/30
IQNA-Wa bahrain wanaendelea kuandamana mbele ya nyumba ya mwanazuoni mashuhuri wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Isa Qassim kwa lengo la kumuunga mkono mwanazuoni huyo anayedhulumiwa.
Habari ID: 3470654 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05
Shirika moja la kutetea haki za binadamu limelaani vikali hatua ya mahakama ya Bahrain kudhinisha marufuku ya chama kikuu cha upinzani nchini humo, al-Wefaq.
Habari ID: 3470576 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/23
Mahakama ya utawala wa kiimla Bahrain meakhirisha tena kutolewa hukumu dhidi ya Sheikh Isa Qassim.
Habari ID: 3470565 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/16
Shirika la kutetea haki za binadmau la Amnesty International limeutaka utawala wa Bahrain usitishe ukadamizaji Waislamu wa Kishia nchini humo.
Habari ID: 3470544 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/02
Utawala wa kiimla wa Bahrain umemzuia mwanaharakati wa haki za binadamu kuondoka nchini humo ili kwa kuhofia kufichuka rekodi mbaya ya haki za binaadamu katika ufalme huo.
Habari ID: 3470536 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/23