Idara ya Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa imebainisha wasi wasi wake kuhusu kuteswa wafungwa katika magereza nchini Bahrain na kwa mara nyingine kuwataka wakuu wa nchi hiyo wamuachilie huru mara moja kiongozi wa upinzani Sheikh Ali Salman.
Habari ID: 3312250 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/08
Askari wa Bahrain wamewashambulia wananchi waliokuwa wakiandamana kwa amani kwa mnasaba wa kumbukumbu ya uingiliaji wa kijeshi wa Saudi Arabia nchini Bahrain, wananchi wa Bahrain wamejitokeza mitaani kulalamika na kupinga kuwepo vikosi vamizi vya Saudi Arabia katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3001292 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/17
Ayatullah Sheikh Issa Qassim Kiongozi mkubwa wa kidini nchini Bahrain ametoa wito kwa wananchi wa nchi hiyo kuendelea kusimama kidete na kukabiliana na changamoto kubwa zinazowakabili ikiwemo dhulma inayofanywa na utawala wa kifalme wa nchi hiyo wa Aal Khalifa.
Habari ID: 2612719 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/29
Ayatullah Sheikh Issa Qassim wa Bahrain amekosoa kimya cha baadhi ya nchi za Kiarabu kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 1433642 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/26
Katika hali ambayo utawala wa kifalme wa Bahrain hadi sasa umeshavunja misikiti 38 nchini humo kwa visingizio tofauti, Mfalme wa Bahrain amemzawadia Papa Francis wa Kanisa Katoliki, ramani ya kanisa kubwa linalotarajiwa kujengwa nchini humo.
Habari ID: 1426057 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/05
Utawala wa kiimla wa Aal Khalifa nchini Bahrian unahadaa walimwengu na kujaribu kuficha jinai zake dhidi ya watu wa nchi hiyo kwa kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani na pia mashindano ya magari ya Formula One.
Habari ID: 1390961 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/06