iqna

IQNA

Askari wa utawala wa kidikteta wa Bahrain wamemtia mbaroni Sheikh Muhammad al-Mansi, aalimu mashuhuri wa nchi hiyo kwa kosa la kusalisha Sala ya jamaa.
Habari ID: 3470250    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/17