TEHRAN (IQNA)- Ayatullah Mohammad Ali Taskhiri (1944-2020) anatajwa kama mmoja kati ya maulamaa mashuhuri zaidi duniani waliokuwa mstari wa mbele kutetea umoja wa Kiislamu.
                Habari ID: 3474441               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/10/19
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Ayatullah  Ali Taskhiri, mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu masuala ya ulimwengu wa Kiislamu alikuwa mmoja kati ya walinganiaji wa umoja na ukuruba baina ya madhehebu za Kiislamu.
                Habari ID: 3473082               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/08/19
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametuma salamu za rambirambi kwa mnasaba wa kuaga dunia mwanazuoni, mujahid na mtetezi wa Uislamu, Hujjatul Islam Walmuslimin Muhammad Ali Taskhiri aliyekuwa kiongozi wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu na Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Ulimwengu wa Kiislamu.
                Habari ID: 3473079               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/08/18