iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya chakula Duniani (WFP) limetunukiwa Tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2020.
Habari ID: 3473245    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/09

Kufuatia jinai dhidi ya Waislamu wa Myanmar
TEHRAN (IQNA) - Bunge la Umoja wa Ulaya limefuta jina la Aung San Suu Kyi, kiongozi wa chama tawala nchini Myanmar ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo katika orodha ya tuzo ya kifakhari ya taasisi hiyo ya kutunga sheria ya Ulaya.
Habari ID: 3473157    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/11