TEHRAN (IQNA) - Mazungumzo ya kutafuta suluhu na amani kati ya wawakilishi wa serikali ya Afghanistan na kundi la Taliban yalianza jana Jumamosi katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
Habari ID: 3473166 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/13
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia, amekadhibisha taarifa iliyosambazwa na vyombo vya habari kuhusiana na kuhamishiwa nchini humo ofisi ya Sheikh Yusuf Qardhawi, Mkuu wa Muungano wa Kimatiafa wa Maulama Waislamu.
Habari ID: 1394424 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/13