zamzam

IQNA

IQNA – Kila siku, tani 235 za maji ya Zamzam husambazwa katika Al Masjid An Nabawi (Msikiti wa Mtume (SAW)) mjini Madina.
Habari ID: 3482353   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/12

Habari za Madina
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya chupa milioni 2.2 za maji ya Zamzam ziligawiwa waumini waliofika katika Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) huko Madina katika robo ya kwanza ya mwaka huu wa Hijri.
Habari ID: 3476144   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya lita milioni 1.2 za maji ya Zamzam zimesambazwa miongoni mwa wanaofanya ziara katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3474552   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13

TEHRAN (IQNA) – Waislamu walioutembelea Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita wametumia lita milioni 1.5 za maji ya Zamzam.
Habari ID: 3473383   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/22