iqna

IQNA

IQNA-Mashindano ya uchoraji kwa kuzingatia ufahamu wa Aya za Qur'ani kwa mtazamo wa watoto Waislamu yamefanyika Afrika Kusini.
Habari ID: 3470692    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/23

Utawala wa Saudia umetekeleza mauaji ya watoto kadhaa nchini Yemen na kuwajeruhi wengine katika mwendelezo wa jinai zake dhidi ya nchi hiyo ambayo ni jirani wake wa kusini.
Habari ID: 3470541    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/30

Taasisi ya Kitaifa ya Vitabu Pakistan imezindua kitabu maalumu cha hadithi za Qur’ani maalumu kwa watoto wadogo.
Habari ID: 3470489    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02

Umoja wa Mataifa umesema watoto 10,000 nchini Yemen walio chini ya umri wa miaka mitano wamepoteza maisha kutokana na sababu za kivita nchini humo.
Habari ID: 3470355    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/03

Idadi ya watoto wadogo wa Kipalestina wanaozuiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa kizayuni wa Israel imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu Oktoba mwaka uliopita wa 2015.
Habari ID: 3470267    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/24

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeikosoa vikali Saudi Arabia kwa kuwalenga kwa makusudi watoto kupitia udondoshaji mabomu kiholela katika vita vyake dhidi ya Yemen.
Habari ID: 3462043    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11

UNICEF
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa idadi ya watoto waliolazimika kuyahama makaazi yao kutokana na mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram ndani ya Nigeria na katika nchi jirani imefikia milioni moja na laki nne
Habari ID: 3365086    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/19

Katika hatua ya kushangaza, Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekataa kuuoredhesha utawala haramu wa Israel na ambao unaendelea kuua watoto wa Ukanda wa Gaza, katika orodha ya tawala zinazovunja haki za watoto duniani.
Habari ID: 3312923    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/10

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amekataa kuuweka utawala haramu wa Israel kwenye orodha ya makundi na watu wanaowaua watoto kiholela duniani.
Habari ID: 3312544    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/09

Jeshi la Utawala haramu wa Israel limewaua watoto wapatao 980 katika hujuma zake za hivi karibuni katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3311464    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/07

Utawala haramu wa Israel unaendeleza jinai zake za kinyama katika Ukanda wa Ghaza ambapo mbali na kuwaua shahidi Wapalestina wakiwemo wanawake na watoto pia utawala huo umebomoa misikiti, nyumba, na mahospitali katika eneo hilo la Palestina.
Habari ID: 1429748    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/14