iqna

IQNA

IQNA – Mamlaka za Misri zimezindua mradi wa majaribio wa kutumia maeneo ya misikiti kwa elimu ya awali ya watoto chini ya makubaliano mapya ya ushirikiano kati ya Wizara ya Wakfu na Wizara ya Elimu.
Habari ID: 3480997    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/25

IQNA – Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeripoti kuwa zaidi ya watoto 300 wameuawa Gaza tangu vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel vilipoanza upya vita mnamo Machi 18.  
Habari ID: 3480484    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/02

IQNA – Waumini wametakiwa kutowaleta watoto wadogo katika Msikiti Mkuu wa Makkah, Masjid al Haram, wakati wa siku za mwisho za mwezi mtukufu  Ramadhani. Hii ni kutokana na eneo hili takatifu kushuhudia ongezeko kubwa la umini
Habari ID: 3480429    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/24

Jinai za Israel
IQNA - Madhara ya afya ya akili ya vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza yanaweza kuonekana miongoni mwa watoto katika eneo lote hilo la Palestina.
Habari ID: 3479779    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/20

Jinai za Israel
IQNA - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema wote waliouawa katika shambulio la bomu la Israel katika shule moja katika mji wa Gaza walikuwa raia.
Habari ID: 3479263    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/11

Jinai za Israel
IQNA - Maafisa wa Palestina na makundi ya muqawama wamekaribisha uamuzi wa Umoja wa Mataifa wa kuuongeza utawala wa Israel kwenye 'Orodha ya Aibu' kwa kuua watoto katika vita vya Gaza.
Habari ID: 3478950    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/08

Jinai za Israel
IQNA-Zaidi ya watoto 15,000 wanaripotiwa kuuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
Habari ID: 3478832    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16

Jinai za Israel
IQNA-Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetoa mwito wa kukomeshwa mauaji ya kiholela dhidi ya Wapalestina, hasa watoto wadogo katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478818    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/14

Matukio ya Palestina
IQNA-Francesca Alnanese Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina alisema jana katika ripoti kali iliyowasilishwa kwa umoja huo kuwa Israel imeua watoto wengi zaidi katika Ukanda wa Gaza katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
Habari ID: 3478514    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/14

Kadhia ya Palestina
IQNA-Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, limeonya kuhusu vifo vingi vya watoto katika Ukanda wa Gaza huku kukiwa na ukosefu mkubwa wa chakula na upatikanaji wa maji salama na huduma za matibabu katika eneo hilo.
Habari ID: 3478456    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Harakati za Qur'ani
IQNA - Mpango wa Qur'ani kwa watoto nchini Misri umepokelewa vyema sana katika majimbo tofauti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3478341    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12

Wizara ya Elimu ya Palestina imetangaza kuwa, tangu kuanza mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan mnamo Oktoba 7 2023 hadi mwanzo wa mwaka wa 2024; Wanafunzi 4156, walimu 321 na wafanyakazi wa shule wameuawa shahidi.
Habari ID: 3478230    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22

Jinai za Israel
IQNA – Jinamizi ambalo watoto wa Gaza wanapitia linazidi kuwa mbaya siku hadi siku, mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) alisema.
Habari ID: 3478156    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/06

IQNA Ripoti ya kutisha iliyotolewa na Wizara ya Afya ya Palestina, imefichuliwa kuwa wakati wa hujuma za hivi karibuni za kijeshi za utawala wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza, asilimia 70 ya watu 18,800 waliouawa walikuwa wanawake na watoto .
Habari ID: 3478053    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/18

Jinai za Israel
UKINGO WA MAGHARIBI (IQNA)- Watoto wawili wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Jenin, kaskazini ya eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3477969    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/30

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mwanaharakati wa Gaza na mkuu wa shirika la kutoa misaada anasema Wapalestina hawawezi tena kuamini sheria za kimataifa kwani zimeshindwa kuwalinda watoto ambao wanakabiliwa na uvamizi wa kikatili wa Israel.
Habari ID: 3477926    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/21

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya watoto 5,000 wameuawa katika vita vya mauaji ya kimbari vya utawala katili wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza tangu Oktoba 7. Onyo: Video hii ina matukio ambayo wengine wanaweza kupata ya kuwasumbua.
Habari ID: 3477925    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/21

Jinai za Israel
GAZA (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umeua shahidi zaidi ya Wapalestina 12,000, wakiwemo watoto wasiopungua 5,000 tokea uanzishe vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7.
Habari ID: 3477908    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18

Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina, kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya utawala wa Kizayuni huko Gaza, kwa wastani, mtoto wa Kipalestina huuawa shahidi kila baada ya dakika 10 katika eneo hilo.
Habari ID: 3477880    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/12

Jinai za Israel
GENEVA (IQNA) - Kamati ya haki za watoto ya Umoja wa Mataifa imeonya kuhusu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya watoto katika vita vinavyoendelea vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Gaza, ikilaani vikali mauaji yanayotekelezwa na utawala huo dhidi watoto katika vita hivyo vya kikatili.
Habari ID: 3477828    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/02