TEHRAN (IQNA)- Hali ya kibinadamu inayozidi kuwa mbaya nchini Yemen kutokana na vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu na kusema kuwa, mtoto mmoja wa Yemen hupoteza maisha kila baada ya dakika 10.
Habari ID: 3474223 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/24
TEHRAN (IQNA)-Kituo cha sheria mjini Sana'a kimetoa takwimu za jinai zilizofanywa na muungano wa Saudi Arabia katika kipindi cha siku 2,300 za uvamizi wake nchini Yemen.
Habari ID: 3474097 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/13
TEHRAN (IQNA)- Kugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Kikatoliki kumezua wimbi kubwa la hasira kati ya raia wengi wa nchi hiyo, taasisi za kutetea haki za binadamu na baina ya wapenda haki kote duniani.
Habari ID: 3474047 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/27
TEHRAN (IQNA)- Watoto wa Yemen wamelaani vikali uungaji mkono wa Umoja wa Mataifa kwa muungano vamizi wa Saudia baada ya umoja huo kukataa kukosoa Saudia na waitifaki wake wanaotenda jinai dhidi ya watoto Wayemeni.
Habari ID: 3474038 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/24
TEHRAN (IQNA)- Watoto wa shule moja ya Kiislamu wametkewa nyara na watu wasuojulikana ambao walishambulia shule yao katikati mwa Nigeria.
Habari ID: 3473964 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31
Hadi sasa Wapalestina karibu 218, wakiwemo watoto 58, wameuawa shahidi katika hujuma mpya ya utawala dhalimu wa Israel dhidi ya Ghaza huku wengine zaidi ya 1,235 wamejurhiwa.
Habari ID: 3473918 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/17
TEHRAN (IQNA) – Mohammad al-Fardi ni baba Mmisri ambaye watoto wake wote 8 wamehifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473678 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/24
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Afya ya Yemen imetangaza kuwa, watoto wachanga 100,000 hufariki kila mwaka nchini humo punde baada ya kuzaliwa kutokana na vita vinavyoendelea vya Saudia dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi katika Bara Arabu.
Habari ID: 3473478 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/21
TEHRAN (IQNA) – Yemen ni sehemu hatari zaidi kwa watoto duniani, amesema Henrietta Fore Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF).
Habari ID: 3473453 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/13
TEHRAN (IQNA) - Wakuu wa Yemen wametoa tahadhari kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayozidi kuwa mbaya nchini humo kutokana na vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu ambapo 'mtoto mmoja wa Yemen hupoteza maisha kila dakika 10'.
Habari ID: 3473416 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/02
TEHRAN (IQNA) - Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam lenye makao makuu yake nchini Uingereza limesema nchi 20 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani (G20) zimeiuzia Saudi Arabia silaha zenye thamani ya dola bilioni 17 tangu Riyadh ianzishe vita dhidi ya Yemen mwaka 2015, lakini nchi hizo wanachama wa kundi la G20 zimeipa Yemen thuluthi moja ya fedha hizo kama msaada.
Habari ID: 3473370 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/18
TEHRAN (IQNA) - Sehemu za Yemen zinakabiliwa na kiwango kikubwa cha utapiamlo kwa watoto , na nchi hiyo inaelekea kwenye baa kubwa la mgogoro wa usalama wa chakula.
Habari ID: 3473302 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/28
TEHRAN (IQNA) – Mbunge mmoja nchini Mauritania ameitaka serikali ya nchi hiyo kuhakikisha kuwa Qur’ani Tukufu inafunzwa katika chekechea zote nchini humo.
Habari ID: 3473155 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/10
TEHRAN (IQNA) –Kituo Jumuishi cha Kufunza Qur’ani (IQE) kimefunguliwa katika jimbo la Niger nchini Nigeria.
Habari ID: 3473133 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/03
TEHRAN (IQNA) – Wazazi Waislamu wametakuwa kuwa waangalifu kuhusu filamu na katuni ambazo watoto wao wanatizama.
Habari ID: 3473010 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/28
TEHRAN (IQNA) - Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetangaza kuwa, idadi ya watoto wanaosumbuliwa na utapiamlo imeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Yemen.
Habari ID: 3472899 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/26
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema makumi ya maelefu ya watoto Wayemen wamekufa njaa tokea Saudia na waitifaki wake waanzishe vita angamizi dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
Habari ID: 3471855 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/27
TEHRAN (IQNA)-Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameua watoto 54 Wapalestina mwaka huu wa 2018.
Habari ID: 3471779 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/20
TEHRAN (IQNA)-Mfanyabiashara wa kike Mfaransa ambaye pia ni mama mzazi, Bi Samira Amarir, kwa muda mrefu alikuwa anatafuta bila mafanikio vitu mbali mbali vya watoto kuchezea, ambavyo vingeimarisha imani ya Kiislamu ya binti yake, hatimaye aliamua kujibunia yeye mwenyewe.
Habari ID: 3471162 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/07
Msomi wa Misri
TEHRAN (IQNA)-Mtaalamu wa masuala ya kidini nchini Misri amesema watoto wanapaswa kuepwa mafunzo sahihi ya Qur'ani ili kunusuru vizazi vijavyo visitumbukie katika misimamo mikali na utumiaji mabavu.
Habari ID: 3471063 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/12