iqna

IQNA

Leo, maelfu ya akina mama wa Iran pamoja na watoto wao wameshiriki katika mikusanyiko mingi iliyofanyika kote nchini, kwa ajili ya kuwaunga mkono wananchi wa Gaza na kulaani jinai za utawala wa Israel wa mauaji ya watoto .
Habari ID: 3477768    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/21

AL-QUDS (IQNA) - Jeshi la utawala ghasibu wa Israel katika uhalifu wa kinyama lililenga hospitali ya al-Ahli Arabu huko Ghaza wakati wa shambulio la anga siku ya Jumanne, na kuua zaidi ya raia 500, wengi wao wakiwa wanawake na watoto , na kujeruhi mamia ya wengine.
Habari ID: 3477760    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/19

Ulimwengu wa Kiislamu
RABAT (IQNA) – Klipu ya video inayoonyesha usomaji wa Qur’ani Tukufu watoto nchini Morocco katikaeneo lililokumbwa na tetemeko la ardhi lililosababishauharibifu mkubwa hivi majuzi imesambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3477595    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/14

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua Wapalestina arobaini na wawili wakiwemo watoto tisa tangu mwanzoni mwa mwaka huu.
Habari ID: 3476540    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/10

Harakati za Qur’ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imesema imeshaandaa vikao vya kufunza Qur'ani Tukufu maalumu kwa watoto katika zaidi ya misikiti 6,000 kote Misri.
Habari ID: 3476257    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16

Qur'ani Tukufu Inasemaje/ 8
TEHRAN (IQNA) – Kuheshimu wazazi ni mojawapo ya mafundisho makuu ya kimaadili ya Uislamu na Qur'ani inayapa umuhimu sana.
Habari ID: 3475940    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/16

Ufundishaji Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Klipi ya video inayomuonyesha mtoto wa miaka minne akimfundisha Qur'ani ndugu yake wa miaka mitatu imesambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3475928    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/14

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umekiri kuwaua watoto watano Wapalestina katika hujuma yake ya hivi karibuni dhidi ya Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3475629    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Idadi ya Wapalestina waliouliwa shahidi katika jinai zinazoendelea za utawala wa Kizayuni huko Gaza imeongezeka na kufikia watu 24 wakiwemo watoto wadogo sita.
Habari ID: 3475589    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/07

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS katika mji wa Karbala, Iraq imeandaa mashindano ya Qur'ani Tukufu ambayo yamewashirkisha watoto na mabarobaro wa nchi tano za Kiafrika.
Habari ID: 3475489    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/11

Qur’ani inasemaje/ 8
TEHRAN (IQNA) - Kuheshimu wazazi ni mojawapo ya mafundisho makuu ya maadili ya Uislamu na Qur’ani inalipa suala hili umuhimu mkubwa sana.
Habari ID: 3475389    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/17

Haki za Watoto
TEHRAN (IQNA)- Tarehe12 Juni, kama ilivyo ada ya kila mwaka, jumuiya ya kimataifa inaungana na kusema hapana kwa ajira ya watoto . Licha ya kupungua kwa idadi ya watoto wanaofanya kazi katika miongo miwili iliyopita, maendeleo kuelekeza kutokomeza ajira kwa watoto yalitatizwa katika kipindi cha mwaka 2016 hadi 2020.
Habari ID: 3475371    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/13

Watoto na Qur'ani
TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimejibu ukosoaji kuhusu darsa zake za kuhifadhi Qur'ani kwa watoto . Katika taarifa yake Jumapili, Kituo cha Al-Azhar cha Fatwa za Kielektroniki kilisema kuwa kulea watoto na kuwalea kwa ufahamu sahihi wa Quran ni nguzo ya utulivu wa jamii.
Habari ID: 3475316    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30

Watoto na Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Usajili wa masomo ya Qur'ani Tukufu katika majira ya joto katika misikiti ya Misri umepokelewa vyema na watoto wa shule.
Habari ID: 3475292    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliwaua raia Wapalestina wasiopungua 357 mwaka 2021 huku jamii ya kimataifa ikiwa kimya kuhusu jinai hizo dhidi ya raia.
Habari ID: 3474754    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/02

TEHRAN (IQNA)- Watoto kadhaa wanaougua saratani wamekutana na mwanazuoni wa ngazi za juu wa Mashia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali al Sistani.
Habari ID: 3474679    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)- Taasisi moja ya Haki za Binadamu imeripoti kuwa utawala ghasibu wa Israel umewauwa watoto wa Kipalestina 77 tangu kuanza mwaka huu wa 2021 hadi sasa.
Habari ID: 3474585    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/21

TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la kutetea haki za binadamu limesema mamia ya watoto wa Yemen wanafariki dunia ndani ya kila saa 24 kutokana na utapiamlo, huku muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia ukiendelea kufanya mashambulizi na kuliwewekea mzingiro wa kila upande taifa hilo maskini la Kiarabu.
Habari ID: 3474584    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/21

UNICEF
TEHRAN (IQNA)- Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeripoti kuwa watoto wa Kiafghani zaidi ya milioni nne hawajajiandikisha kuanza shule mwaka huu nchini humo.
Habari ID: 3474314    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/19

TEHRAN (IQNA)- Karibu watoto 33,000 wameuawa na kulemazwa nchini Afghanistan katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wakati wa uvamizi wa Marekani dhidi ya nchi hiyo, limesema shirika la Save the Children.
Habari ID: 3474248    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/01