TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Nigeria imetakiwa imuachilie huru Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky, baada ya mke wake, Malama Zeenat, kuambukizwa corona au COVID-19 akiwa anashikiliwa jela.
Habari ID: 3473583 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23