iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo Ijumaa hapa mjini amedungwa dozi ya kwanza kabisa ya chanjo ya corona ya COVIran Barekat na kusema kuwa: Kuna ulazima wa kuthamini na kuenzi fahari hii ya taifa ya kuzalisha chanjo ya Kiirani ya corona.
Habari ID: 3474041    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/25