Ayatullah Khamenei na Ayatullah Makarim Shirazi
Kiongozi wa Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullah Sayid Ali Khamenei alimtembelea Ayatullah Nasser Makarim Shirazi kufuatia kuugua na kulazwa hospitali ni kiongozi huyo mkuu wa kidini.
Habari ID: 3478982 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/19
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Mashambulio yasiyokoma ya utawala haramu wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza yaliyoanza tarehe 7 Oktoba yamesababisha hospitali 22 na karibu vituo 50 vya afya katika eneo la pwani kuacha kutoa huduma.
Habari ID: 3477885 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/13
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Idara ya Afya katika Mkoa wa Dhi Qar nchini Iraq wametangaza kuwa watu wasiopungua 90 wamepoteza maisha kufuata mkasa wa moto katika kitengo cha wagonjwa wa corona katika Hospitali ya Imam Hussein as mjini Nasiriya.
Habari ID: 3474096 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/13
Iran imelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya hospitali moja nchini Yemen.
Habari ID: 3407236 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/28
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei asubuhi ya leo ameruhusiwa kuondoka katika Hospitali ya Shahid Rajai mjini Tehran baada ya kukamilisha matibabu na kupata nafuu kikamilifu.
Habari ID: 1450408 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/15