IQNA – Ahmad Abolqassemi, Qari mashuhuri kutoka Iran, amesisitiza uwezo wa kipekee wa nchi hiyo katika uwanja wa usomaji wa Qur’ani Tukufu, akipendekeza kuandaliwa mashindano mapya ya kipekee ya “fainali ya mabingwa” kwa washindi wa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani, yatakayofanyika nchini Iran.
Habari ID: 3481300 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/29
IQNA –Qari na Mtangazaji wa kipindi maarufu cha Qur’ani cha televisheni ya Iran, Mahfel, amesema kuwa kipindi hicho kimepata umaarufu mkubwa kimataifa, kikivutia watazamaji kutoka ulimwengu wa Kiislamu na hata katika maengine ya dunaini.
Habari ID: 3481263 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/21
IQNA – Balozi wa Iran nchini Indonesia amesisitiza shauku ya Jamhuri ya Kiislamu ya kupanua ushirikiano wa Qur’ani na nchi hiyo ya Kusini-Mashariki mwa Asia.
Habari ID: 3480381 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/16
IQNA – Mwambata wa kitamaduni wa Iran, Mohammadreza Ebrahimi, amesema kwamba mikusanyiko ya Qur'ani iliyopangwa kufanyika Indonesia kwa kushirikisha maqari wa Iran inalenga kuimarisha umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3480375 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/15
IQNA – Maqari maarufu wa Qur'ani kutoka Iran, Hamed Shakernejad na Ahmad Abolqassemi, wanatarajiwa kushiriki katika moja ya vikao vikubwa zaidi vya Qur'ani Tukufu katika Msikiti mashuhuri wa Istiqlal, Indonesia.
Habari ID: 3480370 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/14
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu ya Ustadh Ahmad Abulqasimi, mwalimu na qarii wa kimataifa Muirani akisoma Surat Al Fath imesambazwa.
Habari ID: 3474284 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/11