Uislamu na Afya
IQNA – Muhammad Naquib Ajmal Mohd Jamal Nasir, mwenye umri wa miaka 26 ambaye aligundulika kuwa na usonji, alihitimu Jumatatu kwa Shahada ya Kwanza ya Mafunzo ya Qur'ani na Sunnah kutoka Universiti Islam Pahang Sultan Ahmad Shah (UNIPSAS).
Habari ID: 3479410 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/10
TEHRAN (IQNA)- Mvulana mwenye umri wa miaka tisa nchini Oman ambaye anaugua ugonjwa wa tawahudi au autisim ameweza kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3474467 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24