TEHRAN (IQNA)-Wakati Lebanon inapambana kupitia mkwamo wake wa kisiasa uliochukua muda mrefu, Hizbullah inataka kuundwa kwa baraza la mawaziri ambalo linahudumia wananchi badala ya wanasiasa wake.
Habari ID: 3474127 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/25
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema, shambulio la karibuni la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria ni uchokozi na uvamizi wa waziwazi dhidi ya ardhi ya nchi hiyo na ardhi ya Lebanon.
Habari ID: 3474121 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/23
TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametoa wito kwa Waislamu kufuata mafundisho ya Qur’ani Tukufu ili kuweza kukabiliana na madola ya kibeberu.
Habari ID: 3474108 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/17
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Qur’ani ya Tawjih na Irshad ya Lebanon imetangaza washiriki 10 bora wa Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur’ani ya Oula-al-Qiblatain.
Habari ID: 3474106 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/16
TEHRAN (IQNA)- Saada Hariri ambaye alikuwa na jukumu la kuunda serikali mpya ya Lebanon akiwa waziri mkuu kuunda serikali ameshindwa kufanya hivyo na sasa amejiuzulu.
Habari ID: 3474102 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/15
TEHRAN (IQNA)- Misikiti imefunguliwa tena Lebanon baada ya kufungwa kwa muda mrefu kutokana na janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3474003 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/13
TEHRAN (IQNA) – Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema hali jumla ya kiafya ya kiongozi wa harakati hiyo, Sayyid Hassan Nasrallah ni nzuri.
Habari ID: 3473954 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/28
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa muqawama au mapambano ya mataifa dhidi ya wavamizi ndio njia pekee ya kuwashinda.
Habari ID: 3473944 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/25
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema marhum Sheikh Ahmad Zein daima alikuwa akitetea mapambano ya Wapalestina na kupinga njama zote zilizolenga matukufu ya taifa hilo.
Habari ID: 3473776 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/01
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemtumia ujumbe wa rambirambi Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kufuatia kuaga dunia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Jumuiya ya Maulamaa Waislamu Lebanon.
Habari ID: 3473701 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/04
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Lebanon, Sheikh Ahmed al-Zein, ameaga dunia Jumanne.
Habari ID: 3473700 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/03
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka kutocheza na moto huku akisisitiza kuwa hujuma yoyote ile ya Israel dhidi ya Lebanon itakabiliwa na jibu kali kutoka Hizbullah.
Habari ID: 3473657 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/17
TEHRAN (IQNA) -Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump ndiyo serikali mbaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.
Habari ID: 3473353 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/12
TEHRAN (IQNA) - Saad Hariri ameteuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon na sasa ametakiwa kuunda serikali yake ya nne, mwaka mmoja baada ya kuachia ngazi.
Habari ID: 3473287 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/23
TEHRAN (IQNA) – Mafundisho ya Qur’ani kwa njia ya intaneti yameandaliwa na Kituo cha Darul Qur’an nchini Lebanon. Kituo hicho kinafungamana na Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3473169 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/14
TEHRAN (IQNA) - Ismail HaniYa, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameonana ana kwa ana na Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon na kuzungumza naye mambo muhimu yanayohusiana na kambi ya muqawama.
Habari ID: 3473144 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/07
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniya, amefika nchini Lebanon kwa mara ya kwanza baada ya miaka 27.
Habari ID: 3473130 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/02
Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wametangaza kufungmana na wananchi wa Lebanon katika hasa jamaa za wale walipoteza maisha katika mlipuko wa Jumanne iliyopita mjini Beirut.
Habari ID: 3473051 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/10
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mlipuko uliotokea katika bandari ya Beirut ni janga kubwa la kibinadamu na kitaifa.
Habari ID: 3473045 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/08
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia tukio la mlipuko katika bandari ya Beirut nchini Lebanon na kutangaza kuwa pamoja na serikali na wananchi wa nchi hiyo katika kipindi hiki kigumu.
Habari ID: 3473039 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/06