Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa muqawama umejiandaa kikamilifu dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni na kwamba katika vita vijavyo na jeshi la utawala huo, hakutakuwa na mstari wowote mwekundu na adui huyo.
Habari ID: 1439340 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/15
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, harakati hiyo itaendelea kuwaunga mkono wananchi madhlum wa Palestina na muqawama wao na kwamba harakati hiyo haitasita hata kidogo kutoa msaada wowote unaohitajika katika kupambana na adui Wazayuni.
Habari ID: 1433637 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/26
Sayyid Hassan Nasrullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon, amesema kuwa kushiriki kwa wingi Wasyria katika uchaguzi wa rais nchini humo ni thibitisho kwa ulimwengu kwamba, mashinikizo ya Wamarekani na madola ya Magharibi na Kiarabu dhidi ya Syria, yameshindwa.
Habari ID: 1414962 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/07
Sayyid Hassan Nasrullah
Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya mapambano (Muqawama) ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon, amesema kuwa, Iddi au siku kuu ya muqawama na kukombolewa kusini mwa Lebanon ni Iddi ya taifa na umma mzima wa Kiislamu.
Habari ID: 1411327 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/26
Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu,Hizbullah, nchini Lebanon amesema iwapo wanamapambano wa harakati hiyo wasingeliingia nchini Syria, makundi ya kigaidi na kitakfiri yangeliwanyanyasa wananchi wote wa Lebanon.
Habari ID: 1389973 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/30