Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) – Ayatullahil Udhma Sayyid Ali al-Sistani Marjaa wa Mashia duniani aliyeko nchini Iraq ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Allahmah Sayyid Ja'far Murtada al-Amili.
Habari ID: 3472190 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/28
TEHRAN (IQNA) - Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amehutubu Jumapili usiku mjini Beirut kwa munasaba wa kukombolewa eneo la Juroud Arsal kutoka mikononi mwa magaidi, na katika hotuba yake ametoa radiamali kali kuhusu mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya mhimili wa muqawama na kusema jeshi la Israel lisubiri jibu wakati wowote ule kuanzia Jumatatu usiku.
Habari ID: 3472101 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/26
TEHRAN (IQNA) -Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa vita dhidi ya Iran ni sawa na vita dhidi ya mhimili mzima wa muqawama (mapambano ya Kiislamu) na kwa msingi huo amesisitiza kuwa: "Vita dhidi ya Iran vitawasha moto katika eneo lote ( Asia Magharibi)."
Habari ID: 3472087 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/17
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema kuwa, Marekani ilikuwa na njama kubwa tofauti kwa ajili ya kusambaratisha harakati hiyo mwaka 2006, lakini uimara wake umeweza kusambaratisha njama zote hizo.
Habari ID: 3471868 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/09
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ametoa wito kwa wananchi wa Lebanon kutowapigia kura wagombea wanaopata himaya ya Marekani katika uchaguzi ujao wa bunge huku akionya kuwa wanasiasa kama hao wasaliti watakaoikabidhi nchi kwa Marekani.
Habari ID: 3471403 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/25
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon amehutubua mkuntano wa dharura wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na kupendekeza Marekani iwekewe vikwazo kufuatia uamuzi wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo kutmabua Quds Tukufu (Jerusalem) kama mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3471303 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/10
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)-Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, amesema kujiuzulu Waziri Mkuu wa nchi hiyo Saad Hariri kumetokana na kulazimishwa na utawala wa Saudi Arabia na kubainisha kwamba: muamala wa udhalilishaji aliofanyiwa Waziri Mkuu wa Lebanon na utawala wa Aal Saud ni sawa na kuwadhalilisha Wa lebanon wote.
Habari ID: 3471257 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/11
Sayyed Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrallah amesema, kujiuzulu Saad Hariri kama Waziri Mkuu wa Lebanon ni uamuzi ambao ulilazimishwa na utawala wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3471250 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/06
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah Sayyid Hassan Nasrullah
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu harakati ya Hizbullah cha nchini Lebanon amesema ushindi mwingine mkubwa umekaribia nchini humo kwani katika kipindi kifupi kijacho, magaidi wote wa ISIS au Daesh watafurushwa katika mpaka mzima wa Lebanon na Syria na usalama kurejea eneo hilo.
Habari ID: 3471141 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/25
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema kuwa, kushindwa na kufedheheka vitaukumba utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika vita yoyote ile itakayotokea, zaidi ya kushindwa kulikoukuta katika vita vya siku 33 vya mwaka 2006.
Habari ID: 3471122 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/14
Sayyed Hassan Nasrallah
IQNA: Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amatoa wito wa kuwepo umoja baina ya nchi mbali mbali duniani ili kukabiliana na tishio la kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470732 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10
Harakati ya mapambano ya Kiislamu (muqawama) ya Lebanon Hizbullah imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia uchokozi wake katika mashamba ya Shab'a.
Habari ID: 3470531 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/19
Kiongozi wa Hizbullah
Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio tishio kuu kwa usalama na amani Mashariki ya Kati
Habari ID: 3470337 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/26
SayyidHassan Nasrullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya nchini Lebanon Hizbullah amesema utawala wa Saudi Arabia unatekeleza njama dhidi ya mapambano ya Kiislamu katika eneo.
Habari ID: 3470296 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/06
Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imesema itatoa jibu kali kwa mauaji ya kamanda wake mwandamizi Samir Qantar, yaliyofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3468139 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani shambulio la ugaidi lililofanywa na kundi la kitakfiri la ISIS au Daesh nchini Lebanon siku ya Alhamisi ambapo watu 43 waliuawa na wengine zaidi ya 240 wamejeruhiwa.
Habari ID: 3447662 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/13
Sayyid Hassan Nasrullah
Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, moyo wa kutaka shahada na kuuawa shahidi daima ni silaha imara zaidi mbele ya adui.
Habari ID: 3447507 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/12
Sayyid Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya amekosoa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya jinai na ukatili unaoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen na kusema kuwa taifa la Yemen litapambana hadi kupata ushindi.
Habari ID: 3383363 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullahil Udhma Khamenei Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inazinyooshea mkono wa urafiki serikali zote za Kiislamu za eneo na wala haina tatizo lolote na serikali za Kiislamu.
Habari ID: 3345403 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani inalitumia kundi la kigaidi la Daesh kuligawa eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3344476 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/15