iqna

IQNA

IQNA – Kundi la wanawake Waislamu wanaojihusisha na harakati za kidini nchini Belarus limezindua mradi wa kipekee wa kueneza ujumbe wa Qur'an uitwao “Katika Njia ya Tabia Njema.”
Habari ID: 3481235    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/15

TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika kijiji cha Bohoniki nchini Poland sasa wanaongoza mkakati wa kuwasaidia wakimbizi katika eneo hilo linalopakana na Belerus.
Habari ID: 3474611    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28