iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Saudi Arabia imeripoti kesi ya kwanza ya aina mpya ya COVID-19 ijulikanayo kama Omicron ambayo imegundulika katika raia wa nchi hiyo aliyerejea kutoka eneo la kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3474627    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/01

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Jamii za Waislamu Duniani limeakhirisha Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu la Umoja wa Falme za Kiarabu baada ya kuibuka aina mpya ya kirusi cha COVID-19 ijulikanayo kama Omicron.
Habari ID: 3474618    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/29