iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Nabi Musa ni eneo ambalo liko kilomita nane kusini mwa Jericho (Ariha) katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Israel na inaaminika kuwa hapo ndipo lililo kaburi la Nabii Musa-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake.
Habari ID: 3474619    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30