TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imempongeza mcheza tennis wa Kuwait aliyekataa kucheza na mwakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474865 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29
TEHRAN (IQNA)- Mchezaji maarufu wa tennis kutoka Kuwait amepongezwa kwa hatua yake ya kujiondoa katika shindano moja la kimataifa baada ya kubainika kuwa alitakuwa ashindane na raia wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474836 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/22