Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amekosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya mauaji ya umati yanayofanyika katika Jamhuri ya Afrika ya Kati dhidi ya Waislamu. Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami amebainisha masikitiko yake kuwa makundi ya Wakristo wenye misimamo mikali wameachwa kuendelea na mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu katika nchi hiyo ya Ki afrika .
Habari ID: 1380936 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/28
Magaidi wa Kikristo huko Jamhuri ya Afrika ya Kati wamewapa Waislamu waliookwenda kujisitiri katika kanisa moja nchini humo kuondoka nchini humo au wauawe.
Habari ID: 1380049 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/25
Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeonya kuwa kuna operesheni za kufukuza jamii ya Waislamu kwa kuwaua kwa umati katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, suala ambalo askari wa kulinda amani wa kimataifa wameshindwa kulizuia.
Habari ID: 1374699 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/13