iqna

IQNA

Rais Masoud Pezeshkian
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza uwezo wa bara la Afrika na ulazima wa kuwepo ushirikiano na kwamba, IIran iko tayari kupanua ushirikiano wake na bara la Afrika katika nyanja zote.
Habari ID: 3480602    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/27

Qur'ani Barani Afrika
IQNA - Sherehe ilifanyika mapema wiki hii kuwatunuku washindi wa mashindano ya 11 ya kitaifa ya Qur'ani Mauritania.
Habari ID: 3479832    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/01

Mashindano ya Qur'ani
IQNA –Mashindano ya 5 ya Qur’ani ya Mohammed VI kwa ajili ya Maulamaa wa Ki afrika (wasomi) yamefungwa Fes, Morocco, kwa washindi kutangazwa.
Habari ID: 3479523    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02

Mashindano ya Qur’ani barani Afrika
Mashindano ya kwanza ya Qur'ani barani Afrika yanatarajiwa kufanyika nchini Uganda mwezi Oktoba mwaka huu.
Habari ID: 3479014    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/26

Diplomasia
IQNA-Raisi Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna irada baina ya Iran na Afrika kuimarisha na kustawisha uhusiano wa kibiashara na kuongeza kuwa nchi za Afrika zinaweza kunufaika na teknolojia inayomilikiwa na Iran.
Habari ID: 3478736    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/26

Turathi
IQNA - Hujaji wa Nigeria na mwanafunzi amekabidhi nakala iliyoandikwa kwa mkono ya Qur'ani Tukufu katika hati ya Maghribi kwa Maktaba Kuu ya Haram ya Imam Ridha (AS).
Habari ID: 3478677    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/13

Diplomasia
IQNA-Rais Seyed Ebrahim Raisi wa Iran amesisitiza kuwa, bara la Afrika lina nafasi muhimu katika sera za kigeni za serikali ya Iran na kuongeza kuwa: "Uhusiano na Afrika kwa ujumla na hasa nchi za Kiislamu barani Afrika una nafasi maalum sana katika sera zetu za kigeni."
Habari ID: 3478439    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/02

Diplomasia
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Mali pamoja na nchi nyingine za Afrika si wa kisiasa na kidiplomasia tu, bali umejengeka katika msingi wa maslahi ya pande mbili na pande kadhaa.
Habari ID: 3478250    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25

Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Muungano wa kiuchumi wa BRICS wa masoko yanayoibuka duniani umeamua kutoa mialiko ya uanachama kwa mataifa sita.
Habari ID: 3477490    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/24

Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu amesisitiza haja ya kukuza uhusiano na mataifa ya Afrika, akilielezea bara hilo kama ardhi ya fursa na kwamba uwezo wake haupasi kupuuzwa.
Habari ID: 3477279    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/14

Diplomasia
TEHRAN (IQNA) Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi, anatazamiwa kuanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu barani Afrika ili kuendeleza sera za Jamhuri ya Kiislamu za kuimarisha uhusiano na nchi marafiki.
Habari ID: 3477261    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/09

Rais wa Ebrahim Raisi wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran iko tayari kuzipatia nchi za Afrika elimu na teknolojia mpya ili kurahisisha ushiriki wa sekta binafsi katika uhusiano wa pande mbili.
Habari ID: 3476678    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Taasisi ya kutoa misaada ya Uturuki ilitoa zaidi ya nakala 11,000 za Misahafu (Qur'ani Tukufu) kwa Waislamu katika nchi tofauti za Ki afrika mwaka jana.
Habari ID: 3476451    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/23

Hali ya Waislamu duniani
TEHRAN (IQNA) – Shirika la Kiislamu la Usalama wa Chakula (IFS) lilifanya kongamano huko Astana, Kazakhstan, likilenga zaidi hali ya bara la Afrika.
Habari ID: 3476245    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/13

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS katika mji wa Karbala, Iraq imeandaa mashindano ya Qur'ani Tukufu ambayo yamewashirkisha watoto na mabarobaro wa nchi tano za Ki afrika .
Habari ID: 3475489    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/11

Haki za Watoto
TEHRAN (IQNA)- Tarehe12 Juni, kama ilivyo ada ya kila mwaka, jumuiya ya kimataifa inaungana na kusema hapana kwa ajira ya watoto. Licha ya kupungua kwa idadi ya watoto wanaofanya kazi katika miongo miwili iliyopita, maendeleo kuelekeza kutokomeza ajira kwa watoto yalitatizwa katika kipindi cha mwaka 2016 hadi 2020.
Habari ID: 3475371    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/13

Makamu wa Rais wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na inaipa kipaumbele sera za kuimarisha uhusiano na nchi za bara Afrika.
Habari ID: 3475272    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/20

TEHRAN (IQNA)- "Afrika sasa inalengwa kama nomge ya kwanza ya kundi la kigaidi la ISISI au Daesh na makundi ya kigaidi," amesema Nasser Bourita, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Morocco katika ufunguzi wa mkutano wa mawaziri wa Muungano wa Kimataifa wa Kupambana na ISIS nchini Morocco, na kupongeza juhudi za kimataifa za kupambana na kundi hilo.
Habari ID: 3475238    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/11

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imethibitisha uteuzi wa mjumbe maalum wa Afrika.
Habari ID: 3475078    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/26

TEHRAN (IQNA) – Profesa mshiriki wa Chuo Kikuu cha Colgate ametaja uingiliaji kati wa nchi za Magharibi kama moja ya sababu kuu za kuongezeka kwa ugaidi wenye itikadi kali barani Afrika.
Habari ID: 3475075    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/26