Makamu wa Rais wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na inaipa kipaumbele sera za kuimarisha uhusiano na nchi za bara Afrika.
Habari ID: 3475272 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/20
TEHRAN (IQNA)- "Afrika sasa inalengwa kama nomge ya kwanza ya kundi la kigaidi la ISISI au Daesh na makundi ya kigaidi," amesema Nasser Bourita, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Morocco katika ufunguzi wa mkutano wa mawaziri wa Muungano wa Kimataifa wa Kupambana na ISIS nchini Morocco, na kupongeza juhudi za kimataifa za kupambana na kundi hilo.
Habari ID: 3475238 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/11
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imethibitisha uteuzi wa mjumbe maalum wa Afrika.
Habari ID: 3475078 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/26
TEHRAN (IQNA) – Profesa mshiriki wa Chuo Kikuu cha Colgate ametaja uingiliaji kati wa nchi za Magharibi kama moja ya sababu kuu za kuongezeka kwa ugaidi wenye itikadi kali barani Afrika.
Habari ID: 3475075 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/26
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao chake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo kuwa: Suala la kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za bara la Afrika litafuatiliwa kwa umakini na nguvu zaidi.
Habari ID: 3474846 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/24
Mtaalamu mmoja wa Qur'ani Tukufu nchini Algeria amesema kuwa wakoloni walitekeleza njama za makusudi za kudhoofisha nafasi na hadhi ya Qur'ani barani Afrika.
Habari ID: 3474758 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/03
TEHRAN (IQNA)- Warsh ya kujadili 'Hali ya Qiraa na Tajwid ya Qur'ani Tukufu Barani Afrika' imepangwa kufanyika wiki ijayo kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474600 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria ameelezwa kusikitishwa kwake na hatua ya baadhi ya nchi ya kung'ang'ania utawala haramu wa Israel upatiwe hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.
Habari ID: 3474431 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16
Mnamo 14 Dhul Hija 1442 Hijria Qamaria sawa na 25 Julai 2021, Waislamu wa Afrika Mashariki na maeneo mengine duniani walikumbwa na majonzi kufuatia kuaga dunia mwanazuoni mtajika wa Kiislamu na mfasiri wa Qur’ani Tukufu Alhaj Sheikh Hassan Mwalupa.
Habari ID: 3474408 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/10
TEHRAN (IQNA)- Afisa mmoja wa ngazi za juu nchini Malaysia amesedma nchi za Afrika zinaweza kunufaika na soko kubwa la sekta ya chakula ‘Halal’ duniani yenye thamani ya dola bilioni 739.
Habari ID: 3474393 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/07
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali uamuzi wa Umoja wa Afrika kuupa utawala haramu wa Israel hadi ya ‘mwangalizi’ katika taasisi hiyo ya nchi za Afrika.’
Habari ID: 3474122 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/24
TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la misaada ya Uturuki limesambaza nakala zaidi ya 700,000 za Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa vyuo vya Kiislamu barani Afrika.
Habari ID: 3473770 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/30
TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Afrika Kusini limefanyia marekebisho kanuni zake za uvaaji na sasa limewaruhusu askari wanawake wa Kiislamu nchini humo kuvalia vazi la stara la hijabu wakiwa kazini.
Habari ID: 3473600 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/29
TEHRAN (IQNA) – Uwekezaji wa Saudi Arabia katika uga wa utamaduni na kidini miongoni mwa jamii za Waislamu umekithiri katika bara la Afrika kwa lengo la kuzuia ushawishi brani humo wa madola makubwa ya Kiislamu kama vile Uturuki na Iran.
Habari ID: 3473522 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04
TEHRAN (IQNA) - Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu kueneza zaidi ugonjwa wa COVID-19 duniani.
Habari ID: 3473333 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/06
TEHRAN (IQNA) - Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa kuna magaidi zaidi ya 10,000 wa kundi la ISIS au Daesh ambao bado wanaendeleza harakati zao Iraq na Syria ikiwa imepita miaka miwili tokea kundi hilo lishindwe vitani katika nchi hizo.
Habari ID: 3473101 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/25
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuyapa mataifa ya Afrika uzoefu wake katika suala la kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona).
Habari ID: 3472802 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/26
TEHRAN (IQNA) - Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amewatumia Waislamu salamu kwa mnasba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472705 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/26
TEHRAN (IQNA)- Shirika la Afya Duniani (WHO) katika Kanda ya Afrika limetahadharisa kuwa kesi za maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona barani Afrika zinaweza kuongezeka kutoka maelfu ya sasa na kufikia milioni kumi katika kipindi cha miezi sita.
Habari ID: 3472676 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/18
Corona Afrika Mashariki na Kati
TEHRAN (IQNA)- Huku ugonjwa wa corona au COVID-19 ukiendelea kuenea barani Afrika, nchi za bara hilo zinachukua hatua za kuzuia maambukizi zaidi.
Habari ID: 3472630 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/03