TEHRAN (IQNA)-Katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1401 Hijria Shamsia, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelipongeza taifa kwa kuwadia sikukuu ya Nowruz au Nairuzina kuutaja mwaka mpya kuwa ni mwaka wa " uzalishaji unaotegemea elimu na kutengeneza ajira."
Habari ID: 3475062 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/21