IQNA – Viongozi wa Kiislamu kutoka nchi wanachama wa BRICS wametoa tamko la pamoja wakisisitiza kuwa, kutokana na hali ya sasa ya dunia, jukumu kuu na la dharura ni kufanya juhudi za hali ya juu kuhifadhi na kukuza maadili bora ya familia miongoni mwa vijana.
Habari ID: 3481188 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/05
IQNA- Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu (ICRO) amesema kuwa mazungumzo kati ya nchi za Kiislamu ni hitaji lisiloweza kuepukika katika kutatua changamoto za msingi za ubinadamu.
Habari ID: 3480688 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/15
IQNA – Qari na hafidh maarufu wa Qur’ani Tukufu kutoka Iran, Ustadh Hamed Shakernejad, ametajwa kuwa balozi wa kimataifa wa Qur’an wa Iran.
Habari ID: 3480323 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/07
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kufuatia mauaji ya hivi sasa yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza, hakutakuwa na nafasi kwa ulimwengu wa Kiislamu kutegemea mazungumzo ya makubaliano na utawala huo, mwanazuoni mmoja wa Kiislamu amesema.
Habari ID: 3477895 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/15
Mkuu wa ICRO katika mkutano na Askofu wa Armenia
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Shirika la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu Iran (ICRO) anasema moja ya majukumu ya pamoja ya Uislamu na Ukristo ni kukuza nafasi ya dini katika maisha ya watu binafsi.
Habari ID: 3475707 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/30
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu (ICRO) amesema ustaarabu mpya wa Kiislamu unaweza kupatikana tu kupitia umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3475302 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/27