iqna

IQNA

jihadi
Sura za Qur'ani/ 8
TEHRAN (IQNA)- Kuongezeka kwa makundi ya kigaidi duniani na matumizi mabaya ya Uislamu kumepelekea istilahi Jihadi (vita vitakatifu) kupachikwa maana isiyo sahihi na hivyo kunasibishwa na maneno kama vile kuchochea vita, ghasia na mauaji.
Habari ID: 3475385    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/16

Naibu Mkuu wa Baraza la Mamufti wa Russia
Sheikh Roushan Abbasov Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Mamufti wa Russia amesema shughuli na harakati za Taasisi ya Jihadi ya Vyuo Vikuu nchini Iran ni chimbuko la fakhari kwa Umma wa Kiislamu kote duniani.
Habari ID: 3358324    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/05

Kiongozi wa Kiislamu wa nchini Senegal ametaka kutekelezwa “Jihadi ya Kijani” dhidi ya uchafuzi wa mazingira, akiliomba bunge la nchi hiyo na pia jamii nzima ya Waislamu kushiriki katika kile alichokiita jukumu la wazi la Kiislamu la kulinda mazingira.
Habari ID: 3341790    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/13

Kiongozi wa Jumuiya ya Jamaatud Dawa nchini Pakistna Hafidh Saeed Ahmad ametoa wito wa kuanzishwa 'Umoja wa Mataifa ya Kiislamu' ili kutatua matatizo waliyonayo Waislamu duniani.
Habari ID: 2615835    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/07