IQNA- siku ya Arafa yaani mwezi Tisa Mfunguo Tatu Dhulhija ni fursa kwa ajili ya dua na kuomba maghufira kwa Waislamu wote wawe katika Hija au wale ambao hawakupata taufiki ya Hija..
Habari ID: 3478967 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/14
Njama za Wazayuni
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa Lebanon na katibu mkuu wa Umoja wa Wanazuoni wa Muqawama au Mapambano ya Kiislamu amelaani vikali ufalme wa Saudia kwa kumteua mhubiri anayeunga mkono utawala haramu wa Israel kuongoza Sala wakati wa Siku ya Arafah wakati wa Hija.
Habari ID: 3475494 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/12
Khatibu wa Sala ya Idul Adh'ha iliyosaliwa Jumapili asubuhi kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tehran amesema kuwa, iwapo Waislamu wataitumia vizuri ibada ya Hija, wakaamka na kuzitambua vizuri njia za kukabiliana na adui, kamwe Umma wa Kiislamu hautadhalilishwa.
Habari ID: 1457592 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/06
Mahujaji takribani milioni tatu wa Nyumba Tukufu ya Allah SWT leo Ijumaa wameanza kutekeleza ibada ya Hijja, ambapo jana usiku walianza kukusanyika katika viwanja vya Arafa nje ya mji mtukufu wa Makka.
Habari ID: 1456586 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/03