iqna

IQNA

Mauaji ya Kimbari huko Gaza
Waandamanaji huko Washington, DC, wamelaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479015    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/26

Ukatili wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Siku tatu za mashambulizi mutawalia ya utawala haramu wa Israel huko Gaza yalisababisha vifo vya raia Wapalestina 45 wakiwemo watoto 15 na wanawake wanne huku wengine 360 wakijeruhiwa.
Habari ID: 3475596    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/08

Saudi Arabia imeendeleza mashambulizi yake ya kikatili kote Yemen huku Umoja wa Mataifa ukitoa wito wa kusitishwa mapigano katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3342924    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/14

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya mgaidi wa kundi la Daesh (ISIL) kumuwa kinyama rubani wa Jordan aliyekuwa ametekwa nyara na kundi hilo.
Habari ID: 2811515    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/04