iqna

IQNA

murtadi
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Salman Rushdie, mwandishi murtadi wa kitabu cha Aya za Shetani kinachomtusi na kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW, na ambaye ameshambuiwa kwa kuchomwa kisu mjini New York Marekani, ametangaza kuwa, baada ya kufanyiwa upasuaji uliochukua saa kadhaa, hivi sasa Rushdie anasaidiwa kuvuta pumzi kwa mashine ya kupumulia, lakini hawezi kuongea.
Habari ID: 3475616    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/13