iqna

IQNA

IQNA – Kituo cha Karbala cha Utafiti, kilichoko chini ya uangalizi wa Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS), kimetangaza wito wa kuwasilisha makala kwa ajili y Kongamano la 9 la Kimataifa la Kielimu kuhusu Hijja ya Arubaini. 
Habari ID: 3480544    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/15

Arabaeen 1435
BAGHDAD (IQNA) - Wizara ya mambo ya ndani ya Iraq imesema zaidi ya wafanyaziara milioni 3.4 wa kigeni wameingia katika nchi hiyo ya Kiarabu tangu kuanza kwa msimu wa Arbaeen.
Habari ID: 3477546    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/04

TEHRAN (IQNA) – Afisa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Najaf nchini Iraq amesema uwanja huo umeandaliwa kupokea zaidi ya safari 200 za ndege kila siku kuanzia siku ya kwanza ya mwezi wa Hijri wa Safar unaotazamiwa kuanza Agosti 29.
Habari ID: 3475632    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16