iqna

IQNA

al-Quds
Jinai za Israel
IQNA - Idara ya Wakfu ya Kiislamu, inayosimamia Msikiti wa Al-Aqsa huko al-Quds (Jerusalem), imesema leo kwamba ni waumini 15,000 pekee walioruhusiwa kuingia katika eneo hilo takatifu kwa ajili ya Sala ya Ijumaa kutokana na vikwazo vilivyowekwa na utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3478154    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/05

IQNA - Idara ya Waqfu ya Kiislamu huko al-Quds (Jerusalem) imesema kumeshuhudiwa ongezeko la idadi ya walowezi wa Kizayuni waliouhujumu Msikiti wa Al-Aqsa mwaka jana.
Habari ID: 3478133    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02

Quds Tukufu
IQNA - Sheikh Ekrima Sabri, mhubiri wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem), aliitwa na mamlaka ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhojiwa siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478052    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/18

AL-QUDS (IQNA) - Shambulio la anga la Israel limepiga  msikiti mmoja huko Jenin, eneo linalokaliwa kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi, huku kukiwa na mashambulizi ya mabomu katika Ukanda wa Gaza ambayo yamegharimu maisha ya zaidi ya Wapalestina 4,300. 
Habari ID: 3477776    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/23

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Vikosi vya utawala ghasibu wa Israel siku ya Jumatatu vilimzuia mwadhini katika Msikiti wa Al-Aqsa katika jiji la Al-Quds (Jerusalem) Mashariki inayokaliwa kwa mabavu kukamilisha.
Habari ID: 3476912    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/25

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Sheikh Mkuu wa Kipalestina Sheikh Sabri ameelezea kuunga mkono maandamano ya al-Quds (Jeruslame) inayokaliwa kwa mabavu ambayo yameitishwa kupinga mitaala ya elimu ambayo inalazimishwa na utawala haramu wa Israel katika shule za Wapalestina.
Habari ID: 3475811    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/20