IQNA – Wanazuoni wa Kiislamu kutoka sehemu mbalimbali za ulimwengu wa Kiislamu waliokutana katika mji mtakatifu wa Makka wamefikia muafaka kuhusu Ensiklopidia ya Makubaliano ya Kifikra ya Kiislamu pamoja na Mpango wa Mkakati wa kuimarisha Umoja kati ya Madhehebu za Kiislamu.
Habari ID: 3480344 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10
Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuunda umoja na kujitahidi kuungana ili kufikia ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 3479894 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/13
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu (WFPIST) amesema kuwa kufikia umoja wa Kiislamu ni sharti la kujenga ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 3476564 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/15
Hujjatul Islam Hamid Shahriari
TEHRAN (IQNA) – Msomi mwandamizi wa Kiislamu nchini Iran anasema matatizo mengi ya ulimwengu wa Kiislamu yanatokana na masuala ya kisiasa kati ya nchi.
Habari ID: 3475827 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23