Msikiti wa Jamia Syeda Fatima Al-Zahra ulioko Bank Lane, Blackburn, ambao kwa sasa unaendesha shughuli zake ndani ya jengo la baa ya zamani, umepata kibali cha kubomoa jengo hilo na kujenga kituo kipya cha Kiislamu cha ghorofa mbili.
                Habari ID: 3481346               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/10/10
            
                        Waislamu Uingereza
        
        LONDON (IQNA) - 'Siku ya Ustawi wa Jamii' itafanyika katika Msikiti wa Madina huko Blackburn nchini Uingereza, ikilenga kuongeza uelewa wa hali mbalimbali za kiafya na saratani, huku pia ikichangisha fedha kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi nchini Morocco.
                Habari ID: 3477603               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/09/15
            
                        Waislamu Uingereza
        
        LONDON (IQNA) – Masjid E Saliheen, msikiti wa Blackburn, utaandaa siku ya tafrija na kufurahisha familia wikendi hii ili kusaidia kuchangisha fedha za kuboresha vifaa vya mazishi.
                Habari ID: 3477301               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/07/18
            
                        Waislamu Uingereza
        
        TEHRAN (IQNA) – Tukio la kuchangisha fedha kusaidia kujenga msikiti mpya wa Blackburn nchini Uingereza limefanikiwa sana baada ya wafadhili kuahidi kwa ukarimu £126,000 kusaidia mradi huo.
                Habari ID: 3476687               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/03/10
            
                        Waislamu Uingereza
        
        TEHRAN (IQNA) – Wanafunzi kutoka shule ya Darwen walitembelea Msikiti wa Madina mjini Blackburn Uingereza  ili kujua zaidi kuhusu Uislamu na maisha ya kila siku ya Waislamu.
                Habari ID: 3476183               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/12/02
            
                        Waislamu Uingereza
        
        TEHRAN (IQNA) –Pauni za Uingereza 24,000 zilikusanywa kwa ajili ya ujenzi wa moja ya misikiti mikongwe zaidi huko Blackburn nchini Uingereza.
                Habari ID: 3475903               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/10/09