IQNA- Mahdi Ghorbanali, qari wa swala ya Ijumaa mjini Tehran, amejiunga na kampeni ya Qur’ani ya IQNA iitwayo “Fath” kwa kusoma aya ya 139 ya Surah Al-Imran.
Habari ID: 3481008 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/27
IQNA- Ibrahim Isa Musa, qari mashuhuri kutoka Afrika ya Kati, ameshiriki katika kampeni ya Qur’ani ya “Fath” iliyoandaliwa na shirika la IQNA kwa kusoma Surah Tukufu ya Al-Nasr.
Habari ID: 3480972 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/20
IQNA – Kampeni mpya ya kimataifa ya Qurani kwa jina “Fath” imezinduliwa kwa lengo la kuinua morali ya majeshi ya Kiislamu na kueneza maadili ya Qurani ndani ya jamii, hasa kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya Iran.
Habari ID: 3480957 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/17
Kampeni ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu na umaanawi inaendelea kote nchini India katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470380 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/12
Kampeni ya kimataifa imeanzishwa kwa lengo la kuushinikikza utawala wa Saudi Arabia kumuachilia huru msomi wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia Sheikh Nimr al-Nimr.
Habari ID: 3338914 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04