iqna

IQNA

Hali ya mambo Saudia
TEHRAN (IQNA)- Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman hatahudhuria mkutano ujao wa kilele wa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu utakaofanyika nchini Algeria kwa kufuata kile ambacho kimetajwa ni 'ushauri wa madaktari wa kuepuka kusafiri'. Hayo yameelezwa na ofisi ya rais wa Algeria.
Habari ID: 3475978    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/23