iqna

IQNA

maji
Habari za Madina
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya chupa milioni 2.2 za maji ya Zamzam ziligawiwa waumini waliofika katika Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) huko Madina katika robo ya kwanza ya mwaka huu wa Hijri.
Habari ID: 3476144    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya lita milioni 1.2 za maji ya Zamzam zimesambazwa miongoni mwa wanaofanya ziara katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3474552    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa 15 wa Kimataifa wa Sayansi za Fiqhi umefanyika hivi karibuni katika mji mkuu wa Oman, Muscat ambapo mada kuu ilikuwa ni kuhusu maji .
Habari ID: 3472270    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/11

Utawala wa Kizayuni wa Israel umewakatia huduma za maji Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan licha ya joto kali na hitajio kubwa la bidhaa hiyo muhimu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470391    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/16