Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Moja ya sababu za kufunga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni kuelewa hali za watu masikini. Kwa hivyo, mojawapo ya mapendekezo makuu kwa wale wanaofunga mwezi huu mtukufu wa Ramadhani ni kutoa sadaka, hasa kwa wasio na uwezo.
Habari ID: 3476775 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/28
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu ameahidi katika Sura Baqarah kuwapa ujira mara mbili wale wanaoshika mikono ya masikini.
Habari ID: 3476079 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13