iqna

IQNA

Kanuni za Imani ya Kiislamu; Utume/1
TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu amewaumba wanadamu na kuwapa akili ili wajifunze njia ya uongofu. Swali ni je, ikiwa kuna akili, kwa nini watu wanahitaji manabii kwa ajili ya mwongozo?
Habari ID: 3476106    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/18