IQNA – Moja ya kumbukumbu za kipekee katika ulimwengu wa Qur’ani ni usomaji wa kihistoria wa qari mashuhuri wa Misri, marehemu Ustadh Abdul Basit Abdul Samad, katika Haram ya Imam Musa Kadhim (AS) mjini Kadhimiya, Baghdad, mwaka 1956.
Habari ID: 3481606 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/02
IQNA – Maandalizi ya maadhimisho a kumbukumbu ya kufa shahidi Imam Jawad (AS) katika mji mtakatifu wa Kadhimiya yalipitiwa upya katika mkutano wa hivi karibuni.
Habari ID: 3480724 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/23
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa Mfawidhi wa Haram Takatifu za Al-Kadhimayn nchini Iraq, zaidi ya wafanyaziyara milioni 12 walitembelea eneo hilo takatifu alikozikwa Imam Kadhim (AS). Mjumuiko huo umefanyika kwa mnasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi mtukufu huyo.
Habari ID: 3476577 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/17