IQNA-Afisa mmoja huko Qum ametaja idadi ya Wafanyaziara waliotembelea mji huo mtukufu katika siku zinazoelekea Idi ya Nisf Shaaban kuwa zaidi ya milioni nne.
Habari ID: 3480231 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/17
IQNA – Takriban mawkiba 500 zimetoa huduma mbalimbali kwa mamia ya maelfu ya wafanyaziara ambao waliokuwa wakisherehekea sherehe za Nisf Shaaban katika Msikiti wa Jamkaran huko Qom. (Picha zilipigwa Februari 13, 2025)
Habari ID: 3480220 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/14
IQNA – Mkusanyiko wa wafuasi na maashiki wa Imam Mahdi (AS) unaendelea katika Msikiti wa Jamkaran, Qom, Iran, usiku wa Iddi ya Katikati ya Shaaban maarufu kama Nisf Shaaban.
Habari ID: 3480212 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/13
QOM (IQNA) –Msikiti wa Jamkaran ulio katika mji wa Qom nchini Iran umesafishwa ili kuutayarisha kwa ajili ya sherehe za siku ya katikati ya Sha’aban ambayo pia ni maarufu kama Nisf Sha'ban
Habari ID: 3476636 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27