Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Kwa kutumia aya za Qur’ani Tukufu, mwanachuoni wa Kiislamu anaeleza jinsi Nabii Ibrahim alivyomtambulisha Mwenyezi Mungu kwa watu wake.
Habari ID: 3476978 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/09
Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Uzembe na kusahau au kughafikila ni miongoni mwa sifa za binadamu. Mbinu ya kukabiliana nao ni kuarifiwa kila mara kuhusu masuala muhimu.
Habari ID: 3476916 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/26
Mawaidha
Tehran (IQNA) - Kudumisha hali ya kiroho ambayo Mwislamu ameipata wakati wa mwezi uliobarikiwa wa Ramadhani kunahitaji kutumia miongozo iliyojengeka roho ya mtu binafsi na mawaidha ya wanazuoni wa kidini.
Habari ID: 3476909 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/24
Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Katika saa hizi tunazoelekea mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, tunapaswa kumuomba Mwenyezi Mungu atujaalie rehema zake zisizo na kikomo.
Habari ID: 3476891 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/20
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Qur'ani Tukufu imeteremshwa kuwa ukumbusho na mwongozo kwa watu, kwa mujibu wa aya ya 138 ya Surah Al-Imran.
Habari ID: 3476784 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/30