MAWAIDHA

IQNA

Istighfar Katika Qur’ani Tukufu/8
IQNA – Athari za Istighfar (kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu) hazihusiani tu na kusamehewa dhambi, bali pia huondoa vizuizi vinavyokwamisha baraka na rehema za Mwenyezi Mungu kumfikia mwanadamu.
Habari ID: 3481740    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/30

Istighfar katika Qur’an Tukufu / 7
IQNA – Katika aya za Qur’ani Tukufu, Istighfar (kuomba msamaha wa Mwenyezi Mungu) imeelezwa kuwa miongoni mwa masharti ya kuingia Peponi na pia ni ada ya kidunia ya watu wa Peponi.
Habari ID: 3481724    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/27

Istighfar katika Qur’ani Tukufu/ 6
IQNA-Istighfar, yaani kuomba msamaha kwa Allah, ni ibada yenye athari nyingi katika maisha ya Mwislamu. Lengo kuu na la moja kwa moja la mwenye kuomba msamaha ni kusamehewa dhambi zake na kupata radhi za Allah.
Habari ID: 3481707    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/23

Istighfar Katika Qur’an Tukufu / 5
IQNA – Kuamini athari ya kiroho katika maisha hakumaanishi kupuuza nafasi ya sababu za kimaada, bali kunamaanisha kuwa sambamba na mambo ya kimaada, yapo pia mambo ya kiroho kama Istighfar (kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu) ambayo yana athari.
Habari ID: 3481688    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/20

Istighfar katika Qur’ani Tukufu /4
IQNA – Istighfar (kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu) ni jambo lililo na athari nyingi katika maisha ya mwanadamu; katika dunia hii na katika Akhera.
Habari ID: 3481670    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/16

Istighfar Katika Qur’ani Tukufu / 3
IQNA – Katika Hadithi, Imam Ali (AS) amebainisha hakika ya kuomba msamaha na vigezo vya Istighfar (kuomba maghfirah).
Habari ID: 3481638    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/09

Istighfar Katika Qur’ani Tukufu / 2
IQNA-Neno Istighfār (kuomba msamaha) limetokana na mzizi wa Kiarabu ghafara ambalo maana yake ni “kufunika” au “kufunika kwa ulinzi.” Kwa hivyo, istighfār katika Kiarabu ni kusihi na kuomba kufunikwa dhambi na makosa.
Habari ID: 3481623    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/06

Ushirikiano Katika Qur’ani Tukufu / 12
IQNA – Mojawapo ya matumizi muhimu ya kanuni ya ushirikiano ni katika uwanja wa uchumi, ingawa uhusiano kati ya kanuni ya ushirikiano katika Qur’ani na uchumi wa ushirika uko zaidi katika kiwango cha kufanana kwa maneno. Qur’ani inatoa msingi unaoweza kutumika katika nyanja mbalimbali, ikiwemo uchumi.
Habari ID: 3481535    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/18

Ushirikiano katika Qur’ani Tukufu / 11
IQNA – Ushirikiano na watu binafsi pamoja na taasisi zinazojitahidi kuandaa mazingira ya ndoa na kuundwa kwa familia kwa vijana ni miongoni mwa mifano dhahiri ya ushirikiano wa kijamii.
Habari ID: 3481521    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/15

IQNA – Qur’an Tukufu ni ramani ya kuishi maisha mema, amesema mwanazuoni wa Kiislamu nchini Iran, akiongeza kuwa wale wanaoshikamana zaidi na Qur’ani huishi maisha ya heri na ya uadilifu yanayopendeza kwa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3481515    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/14

Ushirikiano Katika Qur’ani Tukufu/10
IQNA – Mifano ya ushirikiano unaojengwa juu ya msingi wa kheri na uchamungu, kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu, haijabana tu katika kutoa mali na sadaka kwa masikini na wahitaji. Bali, kama kanuni ya jumla, ushirikiano huu una upeo mpana unaogusa masuala ya kijamii, kisheria, na kimaadili.
Habari ID: 3481503    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/11

Ushirikiano Katika Qur’ani Tukufu /9
IQNA – Qur’ani Tukufu inakataza waziwazi aina yoyote ya ushirikiano katika maovu au uonevu. Katika Surah Al-Ma’idah aya ya 2, Allah anasema: “Wala msisaidiane katika dhambi na uadui.”
Habari ID: 3481488    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/08

Ushirikiano Katika Qur'ani/ 8
IQNA-Katika Uislamu, kuna kanuni inayoitwa ta’āwun , yaani kushirikiana katika mambo ya kheri. Waislamu wanapaswa kusaidiana katika mema, lakini wajiepushe kushirikiana katika dhulma, uonevu, au mambo ya batili; hata kama anayehusika ni ndugu au rafiki wa karibu.
Habari ID: 3481467    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/04

IQNA – Lengo la elimu ya Qur’ani linapaswa kwenda mbali zaidi ya kuhifadhi, kuelekea kuunda “watu wa mfano wa Qur’ani hai” wanaoathiri jamii kupitia mwenendo wao, asema Hujjatul-Islam Seyyed Mohammad-Mehdi Tabatabaei kutoka Iran.
Habari ID: 3481450    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/02

Ushirikiano katika Qur’ani Tukufu/7
IQNA – Msingi wa jamii ni ushirikiano, kushirikiana, na kubadilishana manufaa. Kwa hivyo, mtazamo wa kielimu wa Kiislamu umechukulia ushirikiano kuwa miongoni mwa mahitaji ya fikra za kimaadili.
Habari ID: 3481448    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/01

IQNA – Akifafanua dhana ya Yawm At-Taghābun, mwanazuoni wa chuo kikuu cha kidini kutoka (Hawzah) Iran amesema kuwa katika Siku ya Kiyama, mtu ataonyeshwa si tu matokeo ya matendo yake, bali pia mahali pake palipopotea Peponi—mandhari itakayokuwa majuto makubwa na mateso ya kiroho yasiyoelezeka.
Habari ID: 3481443    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/01

IQNA – Mwanazuoni wa masuala ya dini, Reza Malazadeh Yamchi, amesema kuwa Qur'ani Tukufu inatoa msingi wa maadili kwa uelewano baina ya tamaduni, ikisisitiza heshima, usawa, na mazungumzo badala ya ubabe wa kitamaduni.
Habari ID: 3481440    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/31

Ushirikiano Katika Qur’ani Tukufu/6
IQNA – Mbali na ukweli kwamba mali kwa asili ni ya Mwenyezi Mungu ambaye ameikabidhi kwa mwanadamu, utajiri wa asili pia ni haki ya wanajamii wote, kwani rasilimali hizi ziliumbwa kwa ajili ya watu wote, si kwa ajili ya mtu binafsi au kikundi maalum.
Habari ID: 3481431    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/28

Ushirikiano katika Qur’ani Tukufu/3
IQNA-Katika Aya ya pili ya Surah Al-Ma’idah, Mwenyezi Mungu Mtukufu ametaja amri nane muhimu, ambazo ni miongoni mwa maagizo ya mwisho aliyoteremshiwa Mtume Muhammad (Rehema na Amani zimshukie). Miongoni mwa amri hizo ni kushikamana kwa pamoja katika njia ya wema na uchamungu.
Habari ID: 3481383    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/19

IQNA – Mwanazuoni wa Kiirani, Hujjatul-Islam Habibollah Zamani, amesisitiza kuwa njia bora ya kuwahimiza watoto kuswali ni kwa wazazi kuishi kwa mfano wa maadili ya Kiislamu na kuifanya ibada kuwa sehemu ya kawaida ya maisha ya kifamilia.
Habari ID: 3481359    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/12