Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /36
TEHRAN (IQNA) – Baada ya kuona dalili za adhabu ya Mwenyezi Mungu, watu wa Nabii Yunus walitubu lakini Yunus (AS) hakusubiri na akasisitiza juu ya adhabu yao. Kwa hiyo, kwa amri ya Mwenyezi Mungu, nyangumi akammeza Yunus (AS).
Habari ID: 3476820 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/06