Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /37
TEHRAN (IQNA) – Makuhani wengi walitoa tuhuma zisizo sahihi dhidi ya Bibi Maryam baada ya kuzaliwa kwa Isa Masih (Yesu) na wakati huo Zakariya aliibuka na kuwa msaidizi na muungaji mkono wa kwanza wa Bibi Mariamu na Nabii Isa-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-(AS).
Habari ID: 3476911 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/25